Wasiliana Nasi

WASILIANA NASI

Tuko Tayari Kukusaidia

Tuambie kuhusu biashara yako na mahitaji yako ya software au ushauri wa TEHAMA, tutakujibu haraka kupitia WhatsApp au simu.

01

WhatsApp

Njia ya haraka zaidi kuwasiliana nasi, tuma ujumbe wako moja kwa moja.

Fungua WhatsApp
02

Simu

Unaweza kutupigia moja kwa moja kwa mazungumzo ya haraka kuhusu mradi wako.

+255 656 848 274

03

Eneo

Tunahudumia wateja Tanzania nzima, huduma nyingi zinafanyika mtandaoni (remote).

Dodoma, Tanzania

Andaa Ujumbe Wako

Tueleze: jina la biashara yako, aina ya huduma unayohitaji (mfumo wa malipo, bulk SMS, mauzo/inventory, mobile app, au ushauri), na tutakujibu haraka.