WASILIANA NASI
Tuko Tayari Kukusaidia
Tuambie kuhusu biashara yako na mahitaji yako ya software au ushauri wa TEHAMA, tutakujibu haraka kupitia WhatsApp au simu.
Simu
Unaweza kutupigia moja kwa moja kwa mazungumzo ya haraka kuhusu mradi wako.
+255 656 848 274
Eneo
Tunahudumia wateja Tanzania nzima, huduma nyingi zinafanyika mtandaoni (remote).
Dodoma, Tanzania
Andaa Ujumbe Wako
Tueleze: jina la biashara yako, aina ya huduma unayohitaji (mfumo wa malipo, bulk SMS, mauzo/inventory, mobile app, au ushauri), na tutakujibu haraka.